Tunatoa suluhisho za kifedha kwa haraka na uhakika ili kukuza uchumi wa wajasiriamali na wafanyakazi.
Mikopo midogo kwa wajasiriamali wadogo na wa kati kusaidia kukuza mitaji ya biashara zao kwa urahisi zaidi.
Mikopo mikubwa ya kibiashara kwa ajili ya uwekezaji na upanuzi wa miradi ya kimaendeleo.
Mikopo inayotolewa kupitia vikundi vya kijamii na kiuchumi kwa masharti nafuu ya pamoja.
Mikopo ya haraka kwa watumishi kupitia mfumo wa makato ya mshahara (ESS) kwa usalama wa hali ya juu.
Mfumo wa Uendeshaji (Secure)